MC ON THE MOVE... BOOK HIM 0712226808

MC ON THE MOVE... BOOK HIM 0712226808
FOR YOUR WEDDING, SENDOFF, CRUSADE FUND RISING EVENT.CALL 07132268

Thursday, June 13, 2013

TAMASHA LA KIHISTORIA DAR....

Katika maishayangu nimekuwa nikifundishwa kwamba Dini nzuri ni ile inayo mjali Mjane, Yatima na aliye Gerezani... lakini kwa sababu ya mchanganyiko wa mafundisho tumejikuta tunapenda sana kusaidiana sisi kwa sisi hasa unapojua namsaidia mtu fulani kwa sababu najua kwamba naye ana uwezo wa kunisaidia hapo baadaye,kama wakristo na tunaamini Neno la Mungu yatupasa kurudi katika Misingi ya Imani na kuwajali wenzetu wenye Uhitaji katika nyanja Mbalimbali tukiamini kwamba anayerudisha Baraka kwetu sio huyo unaye msaidia bali ni Mungu ambaye wala hatumuoni kwa macho yetu haya ya Damu na Nyama.. baada ya kusema hayo basi nawakarinisha katika Tamasha la Kumsifu na Kumwabudu Mungu litakalofanyika Tarehe 26June 2013 Katika Kanisa la PENTECOSTE MABIBO EXTERNAL ambalo Maudhui yake ni kuwachangia watoto wa MUNGU walio YATIMA na wanatunzwa katika kituo cha kulelea watu wa aina hiyo kiitwacho HOCET... KWA MAWASILIANO SOMA TANGAZO LIFUATALO

CHAGUA KUSHIRIKI TAMASHA HILI UWEKE HISTORIA KWA MAISHA YA WATOTO WA MUNGU

No comments:

Post a Comment