MC ON THE MOVE... BOOK HIM 0712226808

MC ON THE MOVE... BOOK HIM 0712226808
FOR YOUR WEDDING, SENDOFF, CRUSADE FUND RISING EVENT.CALL 07132268

Friday, November 16, 2012

ISRAEL HAPATOSHI, WATATU WAUAWA

Kumetokea milipuko ya Makombora Nchini Islael yanayosemekana kwamba yameua waisrael watatu, hayao yamesemwa hivi karibuni na serikali ya Nchi hiyo yenye ugonvi wa muda mrefu sana na Palestina…waisraeli hao watatu wameuwawa baada ya  kombora rlililofyatuliwa kutoka Ukanda wa Gaza kutua karibu na makazi ya raia hao
Inasema kombora hilo liliangukia jengo moja la ghorofa la makaazi mjini... Kiryat Malachi, kusini mwa Israel.

KOMBOLA LIKIRIPUKA KATIKATI YA MAJENGO NA MAKAZI YA WATU 

Kumetokea milipuko ya Makombora Nchini Islael yanayosemekana kwamba yameua waisrael watatu, hayao yamesemwa hivi karibuni na serikali ya Nchi hiyo yenye ugonvi wa muda mrefu sana na Palestina…waisraeli hao watatu wameuwawa baada ya  kombora rlililofyatuliwa kutoka Ukanda wa Gaza kutua karibu na makazi ya raia hao
Inasema kombora hilo liliangukia jengo moja la ghorofa la makaazi mjini... Kiryat Malachi, kusini mwa Israel.

LIKIRUSHWA HEWANI NA KUELEKEA LITAKAPOTUA 

Awali, inasemekana Wapelestina watatu waliuwawa katika shambulizi la ndege za jeshi la Israel dhidi ya Gaza.

Mwandishi wa BBC aliyeko Gaza anasema kuwa aliona moshi wa makombora yanayorushwa

HALI NI TETE  KATIKATI YA MJI WA  Kiryat Malachi, kusini mwa Israel. 

Mashambulizi haya yametokea baada ya Israel kumuua kiongozi mmoja wa kijeshi wa Hamas, Ahmed Jabari, pamoja na watu wengine 10 Jumatano.

Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa lakutana
Nalo Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limefanya mkutano wa dharura mjini New York ili kujadili mapigano hayo.
Rais wa baraza hilo, Hardeep Singh Puri wa India, alisema kwamba ni sharti mapigano hayo yakomeshwe mara moja.
Nchi za Kiarabu zilitaka baraza hilo liishtumu Israel, lakini Marekani ikasema kuwa Israel ilikuwa na haki ya kujihami dhidi ya makombora yanayorushwa na Wapelestina

WAZIRI MKUU AKIONGEA OFISINI KWAKE 

Awali, inasemekana Wapelestina watatu waliuwawa katika shambulizi la ndege za jeshi la Israel dhidi ya Gaza.

Mwandishi wa BBC aliyeko Gaza anasema kuwa aliona moshi wa makombora yanayorushwa.

 Mashambulizi haya yametokea baada ya Israel kumuua kiongozi mmoja wa kijeshi wa Hamas, Ahmed Jabari, pamoja na watu wengine 10 Jumatano.
Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa lakutana
Nalo Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limefanya mkutano wa dharura mjini New York ili kujadili mapigano hayo.
Rais wa baraza hilo, Hardeep Singh Puri wa India, alisema kwamba ni sharti mapigano hayo yakomeshwe mara moja.
Nchi za Kiarabu zilitaka baraza hilo liishtumu Israel, lakini Marekani ikasema kuwa Israel ilikuwa na haki ya kujihami dhidi ya makombora yanayorushwa na Wapelestina.

Source......gospelemmanuel.blogspot.com