MC ON THE MOVE... BOOK HIM 0712226808

MC ON THE MOVE... BOOK HIM 0712226808
FOR YOUR WEDDING, SENDOFF, CRUSADE FUND RISING EVENT.CALL 07132268

Thursday, June 21, 2012

MDEE NA NGEREJA NI KASHESHE, soma hii ndani ya Lawrence the president.blogspot.com

Wakati mjadala wa kuchangia Bajeti unaoendelea mjengoni Dodoma pametokea kurushiana maneno makali na ya kejeli pale panapotokea kutokukubaliana kati ya wabunge wa chama kinachotawala na wale wa upinzani hasa CHADEMA, hilo limejidhihirisha pale ambapo Ngereja alipokuwa akijitutumua kupinga baadhi ya vipengele vilivyiomo katika bajeti ya Chadema iliyosomwa hivi karibuni na Mh. Zito Kabwe.

facebook

Baada ya Ngereja kuiponda bajeti ya CHADEMA ndipo Mh. Mdee alipoomba kutoa taarifa yake na kuanza na kusema "nazani Ngereja ana uchungu wa Kuondolewa katika Balaza la Mawaziri. ndipo Spika alipomtaka Mdee kufuta kauli yake na yeye kufanya hivyo.