MC ON THE MOVE... BOOK HIM 0712226808

MC ON THE MOVE... BOOK HIM 0712226808
FOR YOUR WEDDING, SENDOFF, CRUSADE FUND RISING EVENT.CALL 07132268

Sunday, August 26, 2012

ANDIKA COMPETITION IN THE CITY

ANDIKA COMPETITION -- Mradi wa kusaka waandishi wenye vipaji vya kuandika waanzishwa kwa kishindo Tanzania.

Je, Unaweza kuandika mashairi ya aina yoyote, hadithi ya kubuni, hadithi ya matokeo ya kweli (nonfiction) au maandishi ya dini na
kuamashisha?

Njoo ushiriki katika shindano la Andika Competition na ujishindie million 3 fedha taslimu na zawadi mbalimbali kama laptops.

utarusiwa kuandika katika kiswahili au kiingreza na umri wa kushiriki kwenye shindano ni miaka 13 hadi 36

shindano hili la aina yake litafanyika katika jengo la Taasisi ya watu wazima Dar es Salaam karibu na kituo cha Akiba Posta mpya tarehe 21 mwezi wa 10 2012 kwanzia saa 2 asubuhi.

Fomu za kujiunga zinapatikana kwa shillingi 15,000 tu. WAHI UJISAJILI SASA
wasiliana na Lawrence Mwantimwa mratibu wa shindano..0713 22 68 08/ 0767 22 68 08/ 0782 22 68 08, zawadi zitakazotolewa ni pamoja na sh. 3Ml. 2Ml. 1Ml na zingine nyingi kama Laptops na Vitabu