MC ON THE MOVE... BOOK HIM 0712226808

MC ON THE MOVE... BOOK HIM 0712226808
FOR YOUR WEDDING, SENDOFF, CRUSADE FUND RISING EVENT.CALL 07132268

Friday, June 29, 2012

MPINGA KRISTO NDANI YA DAR ES SALAAM

facebook

Filamu inayoonyesha hali itakavyokuwa baada ya Kanisa kunyakuliwa imeanza rasmi kurekodiwa, akiongea na Lawrence the President Mchungaji Joshua Kaduma ambaye ni mwandishi na aliyepewa maono ya kuandika filam hiyo na kukamilisha mchakato mzima amesema kuwa yeye anachojua ni kwamba Mungu ndiye aliye mpa maagizo ya kutengeneza Filam hiyo, tayari vipande kadhaa vinavyoonyesha matukio ya unyakuo na hali  itakavyokuwa mara baada ya unyakuo  itakavyokuwa vimekwisharekodiwa.

Malengo makuu ya fialm hii ni kuhhubiri Injili na kuwakumbusha wanadam kuwa makini na kujiepusha na mateso yatakayokuwepo wakati huo, kifupi ni kwamaba watu wamrudie Mungu na kuepuka na mateso hayo.







Lawrence Mwantimwa the Blogger naye ni mmoja wa waigizaji wakuu katika filam hiyo, kutokana na umbile lake na uzoefu wake alionao katika mambo ya filam ataigiza kama Kamanda wa kikosi cha Mpinga Kristo. wapenzi na watu wote kwa ujumla jiandaeni kujionea filam hii makini na yenye waigizaji makini waliopakwa Mafuta na Mungu kuigiza humu.

No comments:

Post a Comment