MC ON THE MOVE... BOOK HIM 0712226808

MC ON THE MOVE... BOOK HIM 0712226808
FOR YOUR WEDDING, SENDOFF, CRUSADE FUND RISING EVENT.CALL 07132268

Sunday, July 22, 2012

LOOK GOOD WITH T-SHIRT? Call 0713226808

Naamin hii utaipenda unles otherwise. ukitaka kununua check na numbers above

Hapa anasema sijakamilika jamani nimesamehewa tu.

Pendeza ndugu usingoje umri uende huu ndio muda wakooo. order now

hapa ni kama anamwambia the Blogger kwamba apa vp?

haya mmezoea tu mambo ya facebook sasa ni mambo ya FaithBook yaani kitabu cha Imani ikimaanisha Bible

Dorothea katika Pozi ndani ya products za Billionaire Printers, hii ni moja ya mapozi yake elfu tatu aliyonayo.

Kutana na Mrembo Dorthea Osima ambaye ni Mjumbe wa Bidhaa za Billionaire Printers. ni Mwanafunzi wa Shahada ya kwanza ya Biashara yaani BBA ya chuo kikuu cha Tumaini Dar es Salaam, akiwa ni mwenyeji wa Arusha Tanzania amechagua kuwa mwakilishi  wa Billionaire Printers Products Tanzania.