MC ON THE MOVE... BOOK HIM 0712226808

MC ON THE MOVE... BOOK HIM 0712226808
FOR YOUR WEDDING, SENDOFF, CRUSADE FUND RISING EVENT.CALL 07132268

Sunday, July 22, 2012

LOOK GOOD WITH T-SHIRT? Call 0713226808

Naamin hii utaipenda unles otherwise. ukitaka kununua check na numbers above

Hapa anasema sijakamilika jamani nimesamehewa tu.

Pendeza ndugu usingoje umri uende huu ndio muda wakooo. order now

hapa ni kama anamwambia the Blogger kwamba apa vp?

haya mmezoea tu mambo ya facebook sasa ni mambo ya FaithBook yaani kitabu cha Imani ikimaanisha Bible

Dorothea katika Pozi ndani ya products za Billionaire Printers, hii ni moja ya mapozi yake elfu tatu aliyonayo.

Kutana na Mrembo Dorthea Osima ambaye ni Mjumbe wa Bidhaa za Billionaire Printers. ni Mwanafunzi wa Shahada ya kwanza ya Biashara yaani BBA ya chuo kikuu cha Tumaini Dar es Salaam, akiwa ni mwenyeji wa Arusha Tanzania amechagua kuwa mwakilishi  wa Billionaire Printers Products Tanzania.

Friday, July 20, 2012

PROFESSIONAL PHOTGRAPHER


Add caption

AA TOM HUYOO, 0754 46 39 22
TOM AKILENGA CAMERA KWA BIBI HARUSI NDANI YA DELUX HALL
TOM AKIWA KAZINI
Katika kazi za kupiga Picha katika matukio na Sherehe mbalimbali kama Harusi, Sendoff, Kipaimara, Matamasha, na matukio mengine yeyote yanaoyofana na hayo wasiliana na TONY Mpiga Picha maarufu Dar es Salaam kwa 0754 46 39 22

MC'S WA UKWELI NDANI YA DAR ES SALAAM

Kutana na MC Ntoke Babu na Kawrence Mwantimwa vijana wachapakzi ndani ya Jiji la Dar es Salaam na mikoa yote ya Tanzania, wapo vizuri kwa sherehe zote kama Harusi, Sendoff, Concerts, Graduations, Fund rising events nk. leo tar. 20 julay 2012 wapo ndani ya ukumbi wa DELUX SINZA katika Sendoff party ya ALIVELA

MC'S WA UKWELI NDANI YA DELUX HALL

facebookKutana na PROFESSIONAL MC'S Ntoke Babu  na Lawrence Mwantimwa ambao leo tar. 20 Julay 2012 wanpigana support ndani ya ukumbi wa DELUX SINZA, katika Sendoff ya ALIVELA.

Tuesday, July 17, 2012

PROFESSIONAL MC NDANI JIJI.


Lawrence Mwantimwa is a University Graduate holding Degree of Bachelor of Arts in Mass Communication, Professional MC-Master of Ceremony with massive experience on Corporate Events, Wedding and Pre-Wedding Parties, Concerts and Fund Rising Functions, Motivational Speaker, Radio and TV Presenter, an Actor and Translator (English-Swahili-English).  Call +255 713/767/782- 22 68 08 for the betterment of your event
 Professional Master of Celemony