MC ON THE MOVE... BOOK HIM 0712226808

MC ON THE MOVE... BOOK HIM 0712226808
FOR YOUR WEDDING, SENDOFF, CRUSADE FUND RISING EVENT.CALL 07132268

Thursday, November 1, 2012

PROFF. RWEBANGIRA NA DR. SOKILE KUPIKA WANAVYUO

Wanafunzi wa Vyuo Vikuu nchini wametakiwa kuhudhulia Semina ya siku moja inayotambulika kwa jina la CAMPUS LIFE AND ACADEMIC EXCELLENCE SEMINAR, semina hii imeandaliwa na KANISA LA CITY HARVEST DAR. akiongea na Viongozi wa CU mbalimbali zilizohudhulia Dinner Kanisani hapo hivi karibuni Mchungaji Yared Dondo alisema kwa sababu ya maono ya CITY HARVEST ni kuwafikia na kuwasaidia wanavyuo wa Tanzania ndo maana ameona kuna haja ya kuandaa semina kama hizi ili kuwasaidia kufanya vizuri nkatka masomom yao ili waje kuwa watumishi wazuri wa serikali pamoja na Kanisa siku zao za Usoni.

naye Proff. Rwebangira alikazia kwa kusema maisha yake mengi ameishi chuo kikuu cha Dar es salaam kama mhadhili chuoni hapo kwa hiyo ana siri nyingi zinazoweza kumasidia mwanafunzi kufanya vizuri katika misha yake na masomo awapo Chuoni.DR. Kipilimba ambaye naye pia ni Associate Pastor wa City Harvest alisema pamoja na kusoma kwa bidii sana lakini bila kumcha na kumtanguliza Mungu katika masomo yetu ni bure kabisaa..


TANGAZO LA CAMPUS LIFE NA ACADEMIC EXCELLENCE SEMINAR 

Lawrence Mwantimwa CAMPUS CO-ORDINATOR wa CITY HARVEST aliwsisitizia Viongozi hao kuwa     City Harvest ni kama mfadhili tu wa hiyo semina na wahusika wakuu ni wanafunzi wenyewe pamoja na viongozi wao kwa hiyo ushiriki wao ni wa muhimu sana na ufikishwaji wa taarifa kwa wanafunzi unategemea sana ushiriki wao..

SEMINA HIYO YA CAMPUS LIFE AND ACADEMIC EXCELLENCE SEMINA itafanyika siku ya jumamosi tarehe 4 November katika ukumbi wa CIY HARVEST MABIBO GARAGE ILIPO VICTORIA PETROL STATION..CalL 0713 22 68 08..