naye Proff. Rwebangira alikazia kwa kusema maisha yake mengi ameishi chuo kikuu cha Dar es salaam kama mhadhili chuoni hapo kwa hiyo ana siri nyingi zinazoweza kumasidia mwanafunzi kufanya vizuri katika misha yake na masomo awapo Chuoni.DR. Kipilimba ambaye naye pia ni Associate Pastor wa City Harvest alisema pamoja na kusoma kwa bidii sana lakini bila kumcha na kumtanguliza Mungu katika masomo yetu ni bure kabisaa..
WELCOME TO THE SPIRITUAL,POLITICAL, SOCIAL AND ECONOMICAL BLOG..NO ABUSIVE LANG IS ALLOWED, FOR ADVERTISEMENT CALL. +255713226808
MC ON THE MOVE... BOOK HIM 0712226808
Thursday, November 1, 2012
PROFF. RWEBANGIRA NA DR. SOKILE KUPIKA WANAVYUO
Wanafunzi wa Vyuo Vikuu nchini wametakiwa kuhudhulia Semina ya siku moja inayotambulika kwa jina la CAMPUS LIFE AND ACADEMIC EXCELLENCE SEMINAR, semina hii imeandaliwa na KANISA LA CITY HARVEST DAR. akiongea na Viongozi wa CU mbalimbali zilizohudhulia Dinner Kanisani hapo hivi karibuni Mchungaji Yared Dondo alisema kwa sababu ya maono ya CITY HARVEST ni kuwafikia na kuwasaidia wanavyuo wa Tanzania ndo maana ameona kuna haja ya kuandaa semina kama hizi ili kuwasaidia kufanya vizuri nkatka masomom yao ili waje kuwa watumishi wazuri wa serikali pamoja na Kanisa siku zao za Usoni.
naye Proff. Rwebangira alikazia kwa kusema maisha yake mengi ameishi chuo kikuu cha Dar es salaam kama mhadhili chuoni hapo kwa hiyo ana siri nyingi zinazoweza kumasidia mwanafunzi kufanya vizuri katika misha yake na masomo awapo Chuoni.DR. Kipilimba ambaye naye pia ni Associate Pastor wa City Harvest alisema pamoja na kusoma kwa bidii sana lakini bila kumcha na kumtanguliza Mungu katika masomo yetu ni bure kabisaa..
naye Proff. Rwebangira alikazia kwa kusema maisha yake mengi ameishi chuo kikuu cha Dar es salaam kama mhadhili chuoni hapo kwa hiyo ana siri nyingi zinazoweza kumasidia mwanafunzi kufanya vizuri katika misha yake na masomo awapo Chuoni.DR. Kipilimba ambaye naye pia ni Associate Pastor wa City Harvest alisema pamoja na kusoma kwa bidii sana lakini bila kumcha na kumtanguliza Mungu katika masomo yetu ni bure kabisaa..
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment