City Harvest is the Church designed for young Professionals and College Students. there so many Programs designed for Professionals and for College students, so ur invited to be the part of the Blessed people in the house of the Lord. Currently services are conducted in the MALL Mlimani City.
Pastor Yared Dond invites you all to join him in the Praises and Worship together with God.
facebook
WELCOME TO THE SPIRITUAL,POLITICAL, SOCIAL AND ECONOMICAL BLOG..NO ABUSIVE LANG IS ALLOWED, FOR ADVERTISEMENT CALL. +255713226808
MC ON THE MOVE... BOOK HIM 0712226808
Saturday, June 30, 2012
Friday, June 29, 2012
MPINGA KRISTO NDANI YA DAR ES SALAAM
facebook
Filamu inayoonyesha hali itakavyokuwa baada ya Kanisa kunyakuliwa imeanza rasmi kurekodiwa, akiongea na Lawrence the President Mchungaji Joshua Kaduma ambaye ni mwandishi na aliyepewa maono ya kuandika filam hiyo na kukamilisha mchakato mzima amesema kuwa yeye anachojua ni kwamba Mungu ndiye aliye mpa maagizo ya kutengeneza Filam hiyo, tayari vipande kadhaa vinavyoonyesha matukio ya unyakuo na hali itakavyokuwa mara baada ya unyakuo itakavyokuwa vimekwisharekodiwa.
Malengo makuu ya fialm hii ni kuhhubiri Injili na kuwakumbusha wanadam kuwa makini na kujiepusha na mateso yatakayokuwepo wakati huo, kifupi ni kwamaba watu wamrudie Mungu na kuepuka na mateso hayo.
Thursday, June 21, 2012
MDEE NA NGEREJA NI KASHESHE, soma hii ndani ya Lawrence the president.blogspot.com
Wakati mjadala wa kuchangia Bajeti unaoendelea mjengoni Dodoma pametokea kurushiana maneno makali na ya kejeli pale panapotokea kutokukubaliana kati ya wabunge wa chama kinachotawala na wale wa upinzani hasa CHADEMA, hilo limejidhihirisha pale ambapo Ngereja alipokuwa akijitutumua kupinga baadhi ya vipengele vilivyiomo katika bajeti ya Chadema iliyosomwa hivi karibuni na Mh. Zito Kabwe.
facebookBaada ya Ngereja kuiponda bajeti ya CHADEMA ndipo Mh. Mdee alipoomba kutoa taarifa yake na kuanza na kusema "nazani Ngereja ana uchungu wa Kuondolewa katika Balaza la Mawaziri. ndipo Spika alipomtaka Mdee kufuta kauli yake na yeye kufanya hivyo.
Tuesday, June 19, 2012
FUJO ZANZIBAR NI ISHARA YA NINI?
Mji wa ZANZIBAR hivi karibuni uligubikwa na vurugu mpya za kupinga muungano na kuwalazimisha polisi kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya wafuasi wa kikundi cha uamsho waliokuwa wakiandamana,
tukuio hilo lilitokea katika eneo la mahonda mkoa wa kaskazini unguja ambapo wafuasi hao walikuwa wakiandamana kuelekea katika mhadhara uliopangwa kufanyika katika eneo la Donge nje kidogo ya mji wa Unguja,
hivi ni kweli njia pekee za kupinga muungano ni kufanya fujo? nafikiri kuna njia nyingi za kuwasilisha hoja nzuri na nzito zitakazowafanya watawala kukaa mezani na kujadili upya misingi na makubaliano yaliyofanywa na viongozi wetu tunaowaenzi mpaka leo siku hizo, kufanya fujo na maandamano ni kuhatarisha maisha ya watoto na akina mama ambao ni waathirika wakubwa wa fujo na machafuko kwani uwezo wao wa kukimbia na kujisaidia wakati wa hizo movements ni mdogo sana, kwa hiyo ushauri wa bure kwa hao wanauamsho no kutumia njia mbadala kwani mtu anaetumia nguvu mara nyinngi ni yule aliyeshindwa kwa hoja kwa hiyo basi nashauri hoja zitumike zaidi ya nguvu.
wanasiasa kama Raisi wa Zanzibar Dr. Ali Mohamed Shein hivi karibuni alisema wote wanaopinga na kuukataa muungano hasa wazanzibari wasubiri Tume ya katiba ifanye kazi yao na wao watoe maoni huko kuliko kutumia fujo na nguvu bila matiki. facebook
Saturday, June 9, 2012
facebook
unawezaje kukosa mkutano kama huu? huyu Mtumishi namfahamu tangu siku nilipomuona pale Leaders Club katika Campus night, yani usithubutu kumiss hii kitu ndugu.
Friday, June 8, 2012
lawrence the President: Obama abanwa na mpinzani wake kisiasa
lawrence the President: Obama abanwa na mpinzani wake kisiasa: face book Raisi Barack Obama amepata wakati mgumu kutoka kwa wapinzani wake kisiasa hasa pale aliposema Sekta binafsi inafanya vizuri kisias...
Obama abanwa na mpinzani wake kisiasa
face bookRaisi Barack Obama amepata wakati mgumu kutoka kwa wapinzani wake kisiasa hasa pale aliposema Sekta binafsi inafanya vizuri kisiasa, inawezekana hii ikawa siraha yake kubwa sana wakati huu kuelekea uchguzi wa Marekani
never miss this mega event to take place at Jangwani
jitahidi kutokosa tukio hili la kihistoria kuwahi kutokea hapa DSM, ni ujio wa Mtumishi wa Mungu Andrew Palau jijini Dar es Salaaam, patakuwa hapatoshi aisee
Karibuni katika blog mpya kabisa ambayo itakua ikikuletea mambo mbalimbali ya kijamii, kisiasa, uchumi, Dini na mambo mengi yanayofanana na hayo. hii ni baada ya kuona uhitaji mkubwa wa taarifa muhimu kwa jamii hasa ya wanaotumia vizuri maendeleo ya science na technology katika kujipatia taarifa muhimu kila siku. na pia unakaribishwa kwa maoni na mitazamo tofauti kuhusu mambo yanavyoenda katika jamii uliyopo na kitaifa kwa ujumla.
Lawrence Hodges Mwantimwa ( the President)
Lawrence Hodges Mwantimwa ( the President)
Subscribe to:
Posts (Atom)