naye Proff. Rwebangira alikazia kwa kusema maisha yake mengi ameishi chuo kikuu cha Dar es salaam kama mhadhili chuoni hapo kwa hiyo ana siri nyingi zinazoweza kumasidia mwanafunzi kufanya vizuri katika misha yake na masomo awapo Chuoni.DR. Kipilimba ambaye naye pia ni Associate Pastor wa City Harvest alisema pamoja na kusoma kwa bidii sana lakini bila kumcha na kumtanguliza Mungu katika masomo yetu ni bure kabisaa..
WELCOME TO THE SPIRITUAL,POLITICAL, SOCIAL AND ECONOMICAL BLOG..NO ABUSIVE LANG IS ALLOWED, FOR ADVERTISEMENT CALL. +255713226808
MC ON THE MOVE... BOOK HIM 0712226808
FOR YOUR WEDDING, SENDOFF, CRUSADE FUND RISING EVENT.CALL 07132268
Thursday, November 1, 2012
PROFF. RWEBANGIRA NA DR. SOKILE KUPIKA WANAVYUO
Wanafunzi wa Vyuo Vikuu nchini wametakiwa kuhudhulia Semina ya siku moja inayotambulika kwa jina la CAMPUS LIFE AND ACADEMIC EXCELLENCE SEMINAR, semina hii imeandaliwa na KANISA LA CITY HARVEST DAR. akiongea na Viongozi wa CU mbalimbali zilizohudhulia Dinner Kanisani hapo hivi karibuni Mchungaji Yared Dondo alisema kwa sababu ya maono ya CITY HARVEST ni kuwafikia na kuwasaidia wanavyuo wa Tanzania ndo maana ameona kuna haja ya kuandaa semina kama hizi ili kuwasaidia kufanya vizuri nkatka masomom yao ili waje kuwa watumishi wazuri wa serikali pamoja na Kanisa siku zao za Usoni.
naye Proff. Rwebangira alikazia kwa kusema maisha yake mengi ameishi chuo kikuu cha Dar es salaam kama mhadhili chuoni hapo kwa hiyo ana siri nyingi zinazoweza kumasidia mwanafunzi kufanya vizuri katika misha yake na masomo awapo Chuoni.DR. Kipilimba ambaye naye pia ni Associate Pastor wa City Harvest alisema pamoja na kusoma kwa bidii sana lakini bila kumcha na kumtanguliza Mungu katika masomo yetu ni bure kabisaa..
naye Proff. Rwebangira alikazia kwa kusema maisha yake mengi ameishi chuo kikuu cha Dar es salaam kama mhadhili chuoni hapo kwa hiyo ana siri nyingi zinazoweza kumasidia mwanafunzi kufanya vizuri katika misha yake na masomo awapo Chuoni.DR. Kipilimba ambaye naye pia ni Associate Pastor wa City Harvest alisema pamoja na kusoma kwa bidii sana lakini bila kumcha na kumtanguliza Mungu katika masomo yetu ni bure kabisaa..
Sunday, September 16, 2012
WANAWAKE WA CITY HARVEST WAVUNJA UKIMYA
Wanawake wa Kanisa linalokua kwa kasi la CITY HARVEST ambalo ni mahususi kwa Wanataaluma vijana na wanafunzi wa Vyuo wameendesha ibada leo kanisani hapo na kuacha historia kubwa.. akihubiri katika ibada hiyo Mama Askofu Masawe amesema wanawake ni watu wa muhimu sana katika jamii kwani hata wafalme walipokuwa na matatizo walikuwa wakiwauliza wanawake.
Pia amesema hata Yesu alifutwa miguu yake kwa nywele za mwanamke pia siku anafufuka alionwa kwanza na wanawake.. hata hivyo akiendelea kuhubiri alisema wanawake wanatakiwa kuwa watiifu kwa waume zao kwani ndivyo walivyoagizwa na Mungu,
Wakati akiendelea kuhubiri akagusia kitu kimoja ambacho ni muhimu sana kwa kanisa kwamba Kanisa likiwa na wanawake waliojitoa kwa huduma linaweza kufika mbali na kuwa na Nguvu ya Mungu kwani wanawake wakiomba Mungu anajibu maombi,
Baadaye Mchungaji kiongozi wa kanisa hilo Yared Dondo akihitimisha ibada hiyo iliyokuwa imejaa Nguvu ya Mungu tangu wakati wa ibada ya kusifu na kuabudi hasa wakati Mwimbaji wa kikundi cha kusifu na kuabudu Upendo Chavala alipoimba wimbo wa HE HAS GIVEN ME VICTORY ambapo wazee wa kanisa na wachungaji waliishiwa na uzalendo na kujikuta wote wamejaa mbele na kucheza, Pastor Dondo alisema tangu kanisa hili lilipoanza pale ndani ya Mlimani City wanawake wa City Harvest walikuwa wakiomba kila siku ya Jumamosi pale Church Ofice Mwenge na anachokiona sasa anaamini ni matokeo ya maombi yale.
Wanawake wa City Harvest walimpatia zawadi mama askofu pamoja na kutoa zawadi kwa kanisa ambayo kwa niaba yake walimkabidhi mchungaji kiongozi Yared Dondo.
habari hii imeandaliwa na the blogger Lawrence Mwantimwa..
TUPATE HABARI ZAIDI KATIKA PICHA..

| PASTOR BETHA KIPILIMBA AKIMKABIDHI ZWADI MHUBIRI MRS. ASKOFU MASAWE |
| SIFA IKAZIDI KUCHANGANYA WEE.. IKAWA HOT ZAIDI |
| HAYA MBUNGE TO BE |
| MHUBIRI AKAKAMATA MADHABAHU |
| WANAWAKE WA CITY HARVEST WAKAOMBEWA MA MAMA ASKOFU |
| UPENDO CHAVALA BINTI WA YESU AKASIMAMA NA KUSOMA POEM I LIYOWAGUSA WATU WENGI SANA NA ALIISOMA KWA USTADI WA HALI YA JUU MNO... |
| PATOR DONDO AKIKABIDHIWA ZAWADI TOKA KWA AKINA MAMA |
| SIFA IKACHANGANYA WATU GAFLA WAKAJAA MBELE |
| HAPA WANA MUSIC GEBO, JONAS NA TITO WAKIWA SUPPORT WAKINA MAMA |
| PRAISE TEAM WAKIJIACHIA MBELE ZA BWANA |
| THE BLOGGER LAWRENCE MWANTIMWA NA ANDE WAKIJIHUSISHA IN GOD'S PRESENCE |
| MEZA KUU TOKA KULIA NI PASTOR KIPILIMBA, BERTHA, MRS BISHOP MASAWE PASTOR MATILDA, YARED, MAGDALENA NA PASTOR PROF. RWEBANGIRA |
| HAPA SIJUI HATA ILIKUWAJE ? THE BLOGGER NAYE HUYOO MBELE AKIJICHANGANYA NA WAPENDWA WENGINE PPAISE TEAM YA WANAWAKE WOTE WA KANISA IKASIMAMA KUIMBA TENZI |
Sunday, August 26, 2012
ANDIKA COMPETITION IN THE CITY
ANDIKA COMPETITION -- Mradi wa kusaka waandishi wenye vipaji vya kuandika waanzishwa kwa kishindo Tanzania.
Je, Unaweza kuandika mashairi ya aina yoyote, hadithi ya kubuni, hadithi ya matokeo ya kweli (nonfiction) au maandishi ya dini na

kuamashisha?
Njoo ushiriki katika shindano la Andika Competition na ujishindie million 3 fedha taslimu na zawadi mbalimbali kama laptops.
utarusiwa kuandika katika kiswahili au kiingreza na umri wa kushiriki kwenye shindano ni miaka 13 hadi 36
shindano hili la aina yake litafanyika katika jengo la Taasisi ya watu wazima Dar es Salaam karibu na kituo cha Akiba Posta mpya tarehe 21 mwezi wa 10 2012 kwanzia saa 2 asubuhi.
Fomu za kujiunga zinapatikana kwa shillingi 15,000 tu. WAHI UJISAJILI SASA
wasiliana na Lawrence Mwantimwa mratibu wa shindano..0713 22 68 08/ 0767 22 68 08/ 0782 22 68 08, zawadi zitakazotolewa ni pamoja na sh. 3Ml. 2Ml. 1Ml na zingine nyingi kama Laptops na Vitabu

Sunday, July 22, 2012
LOOK GOOD WITH T-SHIRT? Call 0713226808
Naamin hii utaipenda unles otherwise. ukitaka kununua check na numbers above |
Hapa anasema sijakamilika jamani nimesamehewa tu. |
Pendeza ndugu usingoje umri uende huu ndio muda wakooo. order now |
haya mmezoea tu mambo ya facebook sasa ni mambo ya FaithBook yaani kitabu cha Imani ikimaanisha Bible |
Dorothea katika Pozi ndani ya products za Billionaire Printers, hii ni moja ya mapozi yake elfu tatu aliyonayo. |
Kutana na Mrembo Dorthea Osima ambaye ni Mjumbe wa Bidhaa za Billionaire Printers. ni Mwanafunzi wa Shahada ya kwanza ya Biashara yaani BBA ya chuo kikuu cha Tumaini Dar es Salaam, akiwa ni mwenyeji wa Arusha Tanzania amechagua kuwa mwakilishi wa Billionaire Printers Products Tanzania.
Friday, July 20, 2012
PROFESSIONAL PHOTGRAPHER
| Add caption |
| AA TOM HUYOO, 0754 46 39 22 |
| TOM AKILENGA CAMERA KWA BIBI HARUSI NDANI YA DELUX HALL |
| TOM AKIWA KAZINI |
MC'S WA UKWELI NDANI YA DAR ES SALAAM
Kutana na MC Ntoke Babu na Kawrence Mwantimwa vijana wachapakzi ndani ya Jiji la Dar es Salaam na mikoa yote ya Tanzania, wapo vizuri kwa sherehe zote kama Harusi, Sendoff, Concerts, Graduations, Fund rising events nk. leo tar. 20 julay 2012 wapo ndani ya ukumbi wa DELUX SINZA katika Sendoff party ya ALIVELA
Subscribe to:
Posts (Atom)