MC ON THE MOVE... BOOK HIM 0712226808

MC ON THE MOVE... BOOK HIM 0712226808
FOR YOUR WEDDING, SENDOFF, CRUSADE FUND RISING EVENT.CALL 07132268

Saturday, June 22, 2013

WATOTO YATIMA WA HOCET KUITIKISA DAR....

KSHO NI KESHO KATIKA KANISA LA MCHUNGAJI JOHN SHABANI PALE MABIBO EXTERNAL KUANZIA SAA NANE KAMILI MCHANA WAKATI WATANZANIA WENYE MAPENZI MEMA KWA VIJANA NA WATOTO WETU AMBAO WALIACHWA NA WAZAZI WAO (YATIMA) WATAKAPOKUWA WAKICHANGIWA PESA KWA AJILI YA KUWATEGEMEZA KATIKA MIRADI YAO ILIYOPO KITUONI KWAO MKURANGA.... 




WATOTO HAO WATAKUA WAKIZINDUA ALBAM YAO WALIYO I REKODI KWA MSAADA WA MUNGU, WAIMBAJI WENGI WATAKUWEPO KUWASINDIKIZA KATIKA UZINDUZI HUO BAADHI YAO NI... BAHATI BUKUKU, FLORA MBASHA, JOSEPH NYUKI, VICTOR ARON, JOSHUA MAKONDEKO, ADDO NOVEMBA, DOUBLE E SISTERS, DEBORAH SAID NA WENGINE WENGI SANA BILA KUWASAHAU COMEDIAN WA KIKRISTO CHAVALA PAMOJA NA PILIPILI NA WENGINE WEEEEEEEEEENGI WATAIMBA.....




VICTOR ARON


ADDO NOVEMBA


FLORA MBASHA


JOSHUA MAKONDEKO


VUNJA MBAVI PILIPILI


VUNJA MBAVU CHAVALA

NJOO TUONYESHE UPENDO KWA WADOGO ZETU NA WATOTO WETU, WANATUHITAJI SANA HASA KWA SABABU YA MAISHA MAGUMU WANAYOISHI..... LETS JOIN HANDS TOGETHER FOR THEM.....call 0713226808

Friday, June 21, 2013

FRIENDS DRY CLEANER & LAUNDRY

Friends Dry Cleaner ni wataalam wa Kuwafanya watu wawe Smart kwa kuwasafishia Nguo zao kwa maana ya Suit na Nguo za Kawaida kwa ktumia Machine za Kisasa sana hapa Jijini Dar es Salaam....

Friends Dry Cleaner wana uzoefu wa Muda mrefu katika Fani hii na Mitambo yao ya Kisasa imewafanya watoe huduma bora sana kwa wateja wake hapa Mjini.... 

Friends Dry Cleaner wanapatikana Magomeni Mapipa kilipo kituo cha Daladala za Kwenda Posta au Kariakoo, au Lilipo Jengo la Sea Boys Ghorofa ya Pili... unaweza ukawapata kwa Number zifuatazo... 0712897224 na 0767 22 68 08

NGUO ZIKIWA TAYARI KUCHUKULIWA 0712 89 72 24


CALL NOW FOR GOOD AND QUALITY SERVICES 0712 897224


BE SMART WITH FRIENDS DRY CLEANER 0712897224


YOUR SMARTNESS IS OUR CONCERN...0712897224


BRING DIRTY CLOTHES AND RECEIVE THEM CLEAN 0712897224


COMMITED ON TIMELY DELIVERY 0712897224


PROFESSIONAL MACHINES JUST TO MAKE YOU SMART...0712897224


TUPO KWA AJILI YAKO... COME AND LETS GIVE YOU A SMILE.. 


COMMITTED TO SMARTNESS 

Thursday, June 20, 2013

KAMETA KUZINDUA ALBAM YA OMBA LOLOTE DAR... Call 0713 226808 au 0767226808

FRED KAMETA (MUIMBAJI NA PRODUCER MAARUFU NCHINI)

FRED... 0656111118 NA 0755755223

Muimbaji wa Nyimbo Za Injili Tanzania na Duniani Pote na mtengeneza Ala za Music Nchini Maarufu kwa Jina ka FRED KAMETA ameamua Kuvunja Ukimya na Kuamua kuzindua Albam yake inayowika kwa jina la OMBA LOLOTE, Akiongea na Meneja wake LAWRENCE MWANTIMWA Fred Kameta amesema kwamba amepata msukumo wa Ndani wa kuingia kwa miguu yote miwili katika huduma hii ya kumtumikia Mungu kwa njia ya Uimbaji, Fred amesema kwamba amekuwa muimbaji kanisani na kwenye mikutano ya Injili Tanzania pamoja na kwenye Matamasha mbalimbali ya Uzinduzi na mengineyo lakini hakuwa ameamua kuwekeza katika huduma hii lakini kwa sasa ameamua kufanya hivyo....


Kameta amesema amekuwa akiwatengenezea Ala za Music pamoja na Kurecod nyimbo za waimbaji wengi sana wa Music Tanzania kama vile Abihudi Misholi, Jojo Jose, Ambele Chapa Nyota, David Robert, Stela Swai na wengine wengi ikiwa ni pamoja na Agape Super Power Praise Team...
Fred Pichani amesema kwamba anatamani kuona watu wengi zaidi wakiguswa na uimbaji wake wenye mguso wa Roho mtakatifu...


Akiongea hivi karibuni Meneja wa Fred Kameta Ndugu Lawrence Mwantimwa amesema kuwa katika Tamasha hilo kutakuwepo na waimbaji wengi sana kumsindikiza rafiki yao Fred Kameta wengi wao wakiwa ni wale waliowahi guswa na huduma ya Producer huyu maarufu katika nyanja ya kutengeneza Music, na amesema kwamba pamoja na hao pia kutakuwepo na waimbaji kutoka Uganda na Kenya watakao kuja kumpa suport Fred, akiwataja baadhi ya waimbaji

Lawrence amesema ni pamoja na Mellody Ndichu toka Kenya, Price George toka Uganda, kwa Tanzania ni David Robert, Ambwene Mwasongwe, Rungu la Yesu, Joseph Nyuki. Joshua Makondeko, Stella SWAI, Happy Kamili, Jojo Jose na ACAPELA Singers...


Tamasha limepangwa kufanyika tarehe 14 July 2013 katika ukumbi wa Sinza Christian Center Sinza Kumekucha Dar es Salaam Tanzania....kuanzia saa Nane mchana na kuendelea....

WAFUATAO NI WAIMBAJI MAARUFU WATAKAO KUWEPO KUMSINDIKIZA FRED KATIKA UZINDUZI WAKE

PRICE GEORGE KUTOKA UGANDA NAYE ATAKUWEPO KUMSINDIKIZA FRED


RUNGU LA YESU MZEE WA GOSPEL HIP HOP ATAKUWEPO


JOSHUA MAKONDEKO MZEE WA MALIPO NDANI YA NYUMBA


MUNGU AKUPE NINI? MUIMBAJI WA KIMATAIFA MELLODY NDICHU TOKA KENYA ATAKUWEPO


KIFAA CHA YESU JOSEPH NYUKI ATAMALIZA KAZI KWA SEBENE ZA UKWELI


USIKOSE NA MTAARIFU NA RAFIKI YAKO.... WOTE MNAKARIBISHWA

Thursday, June 13, 2013

TAMASHA LA KIHISTORIA DAR....

Katika maishayangu nimekuwa nikifundishwa kwamba Dini nzuri ni ile inayo mjali Mjane, Yatima na aliye Gerezani... lakini kwa sababu ya mchanganyiko wa mafundisho tumejikuta tunapenda sana kusaidiana sisi kwa sisi hasa unapojua namsaidia mtu fulani kwa sababu najua kwamba naye ana uwezo wa kunisaidia hapo baadaye,kama wakristo na tunaamini Neno la Mungu yatupasa kurudi katika Misingi ya Imani na kuwajali wenzetu wenye Uhitaji katika nyanja Mbalimbali tukiamini kwamba anayerudisha Baraka kwetu sio huyo unaye msaidia bali ni Mungu ambaye wala hatumuoni kwa macho yetu haya ya Damu na Nyama.. baada ya kusema hayo basi nawakarinisha katika Tamasha la Kumsifu na Kumwabudu Mungu litakalofanyika Tarehe 26June 2013 Katika Kanisa la PENTECOSTE MABIBO EXTERNAL ambalo Maudhui yake ni kuwachangia watoto wa MUNGU walio YATIMA na wanatunzwa katika kituo cha kulelea watu wa aina hiyo kiitwacho HOCET... KWA MAWASILIANO SOMA TANGAZO LIFUATALO

CHAGUA KUSHIRIKI TAMASHA HILI UWEKE HISTORIA KWA MAISHA YA WATOTO WA MUNGU

Friday, November 16, 2012

ISRAEL HAPATOSHI, WATATU WAUAWA

Kumetokea milipuko ya Makombora Nchini Islael yanayosemekana kwamba yameua waisrael watatu, hayao yamesemwa hivi karibuni na serikali ya Nchi hiyo yenye ugonvi wa muda mrefu sana na Palestina…waisraeli hao watatu wameuwawa baada ya  kombora rlililofyatuliwa kutoka Ukanda wa Gaza kutua karibu na makazi ya raia hao
Inasema kombora hilo liliangukia jengo moja la ghorofa la makaazi mjini... Kiryat Malachi, kusini mwa Israel.


KOMBOLA LIKIRIPUKA KATIKATI YA MAJENGO NA MAKAZI YA WATU 


Kumetokea milipuko ya Makombora Nchini Islael yanayosemekana kwamba yameua waisrael watatu, hayao yamesemwa hivi karibuni na serikali ya Nchi hiyo yenye ugonvi wa muda mrefu sana na Palestina…waisraeli hao watatu wameuwawa baada ya  kombora rlililofyatuliwa kutoka Ukanda wa Gaza kutua karibu na makazi ya raia hao
Inasema kombora hilo liliangukia jengo moja la ghorofa la makaazi mjini... Kiryat Malachi, kusini mwa Israel.


LIKIRUSHWA HEWANI NA KUELEKEA LITAKAPOTUA 

Awali, inasemekana Wapelestina watatu waliuwawa katika shambulizi la ndege za jeshi la Israel dhidi ya Gaza.

Mwandishi wa BBC aliyeko Gaza anasema kuwa aliona moshi wa makombora yanayorushwa

HALI NI TETE  KATIKATI YA MJI WA  Kiryat Malachi, kusini mwa Israel. 

Mashambulizi haya yametokea baada ya Israel kumuua kiongozi mmoja wa kijeshi wa Hamas, Ahmed Jabari, pamoja na watu wengine 10 Jumatano.

Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa lakutana
Nalo Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limefanya mkutano wa dharura mjini New York ili kujadili mapigano hayo.
Rais wa baraza hilo, Hardeep Singh Puri wa India, alisema kwamba ni sharti mapigano hayo yakomeshwe mara moja.
Nchi za Kiarabu zilitaka baraza hilo liishtumu Israel, lakini Marekani ikasema kuwa Israel ilikuwa na haki ya kujihami dhidi ya makombora yanayorushwa na Wapelestina


WAZIRI MKUU AKIONGEA OFISINI KWAKE 

Awali, inasemekana Wapelestina watatu waliuwawa katika shambulizi la ndege za jeshi la Israel dhidi ya Gaza.

Mwandishi wa BBC aliyeko Gaza anasema kuwa aliona moshi wa makombora yanayorushwa.

 Mashambulizi haya yametokea baada ya Israel kumuua kiongozi mmoja wa kijeshi wa Hamas, Ahmed Jabari, pamoja na watu wengine 10 Jumatano.
Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa lakutana
Nalo Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limefanya mkutano wa dharura mjini New York ili kujadili mapigano hayo.
Rais wa baraza hilo, Hardeep Singh Puri wa India, alisema kwamba ni sharti mapigano hayo yakomeshwe mara moja.
Nchi za Kiarabu zilitaka baraza hilo liishtumu Israel, lakini Marekani ikasema kuwa Israel ilikuwa na haki ya kujihami dhidi ya makombora yanayorushwa na Wapelestina.

Source......gospelemmanuel.blogspot.com